Nyota anayehofiwa na Simba Nkana ataja anayemhofia Simba
Kuelekea Mchezo wowote huwa kuna Nyota wa Kuhofia kutoka kwa timu pinzani hasa kutokana na uwezo mkubwa zaidi ambao huwa unaonekana uwanjani.
Kwa Upande wa Simba Ni wazi kwa Taarifa ambazo hazina Punje ya mashaka safu ya Ulinzi inayoongozwa na Pascal wawa na wenzake watakuwa wameshasikia shughuli ya straika hatari wa Nkana Walter Bwalya.
Walter Bwalya ndiye straika anayetegemewa zaidi na Timu ya Nkana red devils wakali kutoka Kitwe huko Zambia.
Lakini kumbe Straika huyo naye habari za wachezaji wa Simba naye anazo kwani amefunguka kuwa anajua fika uwezo wa mchezaji Clatous Chama kwani amewahi kucheza naye.
Walter Bwalya amefunguka kuwa anajua kuwa mchezaji Chama anauwezo mkubwa sana wa kuamua matokeo na ndiye mchezaji wanayemhofia zaidi kutokana na uwezo wake.
Simba na Nkana Fc zitakutana Ijumaa ya 14 December 2018 huko mjini Kitwe makao makuu ya Klabu ya Nkana Fc katika mechi ya Mchezo wa kwanza kabla ya kurudiana kati ya December 21 na 22 KATIKA uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam
Mshindi wa Jumla katika mchezo huo atafuzu moja kwa moja hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika kwa mwaka 2018/2019.
▼▼▼BOFYA PICHA HAPA CHINI KUONA VIDEO HIYO ▼▼▼
“In fact, all the leaders I met in the UAE praised us for maintaining peace, a prerequisite to achievement in development,” Dr Shein said at the press conference held at the airport in Zanzibar shortly after landing from the Arab countries. On January 21, this year the President and his delegation which included First Lady Mwanamwema Shein left the Islands for a week-long visit in countries forming UAE: Dubai, Sharjah, and Ras-al- Khaimah.
He said the reception he was accorded in each state was good, and that leaders in the Arab countries had promised to support Zanzibar move ahead in various sectors, including the search for alternative energy, oil and other natural resources, improvement of social services and infrastructure.
Dr Shein said, “… I personally learned a lot. The countries are economically well-off, but they have managed to advance because of determination and good planning, tools which we (Zanzibar) can copy from them.”
He said without good planning, even if you have money, one can fail to move forward as witnessed in some countries including in Africa where some nations have good economy, but have failed to achieve development goals.
Speaking with Journalists, the isles leader also answered questions which were not directly related to his trip. When asked to comment on ongoing views about changing presidential term limit from the current five to seven, he replied “It is not my agenda; I will respect my constitution term and leave the office to others.”
He was also asked about the temporary ban on registration of international ships after some foreign ship flying Tanzania flag were implicated in illegal business, he said “I know there are discussions going on.
It is the dishonest ships abroad are to blame for misusing our flag. I hope we will have the right to continue registering international ships.”



Post a Comment